2 Kor. 8:9 SUV

9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:9 katika mazingira