2 Kor. 9:5 SUV

5 Basi naliona ya kuwa ni lazima niwaonye ndugu hawa watangulie kufika kwenu, na kutengeneza mapema karama yenu mliyoahidi tangu zamani, ili iwe tayari, na hivi iwe kama kipawa, wala si kama kitu kitolewacho kwa unyimivu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:5 katika mazingira