2 Pet. 1:19 SUV

19 Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 1

Mtazamo 2 Pet. 1:19 katika mazingira