2 Pet. 1:8 SUV

8 Maana mambo hayo yakiwa kwenu na kujaa tele, yawafanya ninyi kuwa si wavivu wala si watu wasio na matunda, kwa kumjua Bwana wetu Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 1

Mtazamo 2 Pet. 1:8 katika mazingira