2 Pet. 2:18 SUV

18 Maana wakinena maneno makuu mno ya kiburi, kwa tamaa za mwili na kwa ufisadi huwahadaa watu walioanza kuwakimbia wale wanaoenenda katika udanganyifu;

Kusoma sura kamili 2 Pet. 2

Mtazamo 2 Pet. 2:18 katika mazingira