2 Pet. 2:20 SUV

20 Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kama wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 2

Mtazamo 2 Pet. 2:20 katika mazingira