2 Pet. 3:7 SUV

7 Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 3

Mtazamo 2 Pet. 3:7 katika mazingira