2 Tim. 1:12 SUV

12 Kwa sababu hiyo nimepatikana na mateso haya, wala sitahayari; kwa maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hata siku ile.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 1

Mtazamo 2 Tim. 1:12 katika mazingira