2 Tim. 1:18 SUV

18 Bwana na ampe kuona rehema machoni pa Bwana siku ile. Na jinsi alivyonihudumia kwa mengi huko Efeso, wewe unajua sana.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 1

Mtazamo 2 Tim. 1:18 katika mazingira