2 Tim. 2:15 SUV

15 Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 2

Mtazamo 2 Tim. 2:15 katika mazingira