2 Tim. 2:21 SUV

21 Basi ikiwa mtu amejitakasa kwa kujitenga na hao, atakuwa chombo cha kupata heshima, kilichosafishwa, kimfaacho Bwana, kimetengenezwa kwa kila kazi iliyo njema.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 2

Mtazamo 2 Tim. 2:21 katika mazingira