2 Tim. 3:15 SUV

15 na ya kuwa tangu utoto umeyajua maandiko matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 3

Mtazamo 2 Tim. 3:15 katika mazingira