2 Tim. 3:8 SUV

8 Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 3

Mtazamo 2 Tim. 3:8 katika mazingira