10 Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia.
Kusoma sura kamili 2 Tim. 4
Mtazamo 2 Tim. 4:10 katika mazingira