2 Tim. 4:17 SUV

17 Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie Mataifa yote; nami nikaokolewa katika kinywa cha simba.

Kusoma sura kamili 2 Tim. 4

Mtazamo 2 Tim. 4:17 katika mazingira