2 Yoh. 1:7 SUV

7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Yoh. 1

Mtazamo 2 Yoh. 1:7 katika mazingira