3 Yoh. 1:12 SUV

12 Demetrio ameshuhudiwa na watu wote, tena na ile kweli yenyewe. Nasi pia twashuhudia, nawe wajua ya kwamba ushuhuda wetu ni kweli.

Kusoma sura kamili 3 Yoh. 1

Mtazamo 3 Yoh. 1:12 katika mazingira