Efe. 1:13 SUV

13 Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi aliye Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Efe. 1

Mtazamo Efe. 1:13 katika mazingira