Efe. 4:28 SUV

28 Mwibaji asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji.

Kusoma sura kamili Efe. 4

Mtazamo Efe. 4:28 katika mazingira