Flp. 1:27 SUV

27 Lakini mwenendo wenu na uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, ili, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;

Kusoma sura kamili Flp. 1

Mtazamo Flp. 1:27 katika mazingira