Flp. 2:12 SUV

12 Basi, wapendwa wangu, kama vile mlivyotii sikuzote, si wakati mimi nilipokuwapo tu, bali sasa zaidi sana mimi nisipokuwapo, utimizeni wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka.

Kusoma sura kamili Flp. 2

Mtazamo Flp. 2:12 katika mazingira