Flp. 2:27 SUV

27 Kwa maana alikuwa hawezi kweli kweli, karibu na kufa; lakini Mungu alimhurumia; wala si yeye peke yake, ila na mimi pia; nisiwe na huzuni juu ya huzuni.

Kusoma sura kamili Flp. 2

Mtazamo Flp. 2:27 katika mazingira