Flp. 3:15 SUV

15 Basi sisi tulio wakamilifu na tuwaze hayo; na hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu atawafunulia hilo nalo.

Kusoma sura kamili Flp. 3

Mtazamo Flp. 3:15 katika mazingira