Gal. 1:14 SUV

14 Nami naliendelea katika dini ya Kiyahudi kuliko wengi walio hirimu zangu katika kabila yangu, nikajitahidi sana katika kuyashika mapokeo ya baba zangu.

Kusoma sura kamili Gal. 1

Mtazamo Gal. 1:14 katika mazingira