Gal. 2:12 SUV

12 Kwa maana kabla hawajaja watu kadha wa kadha waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa Mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa.

Kusoma sura kamili Gal. 2

Mtazamo Gal. 2:12 katika mazingira