13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Kusoma sura kamili Gal. 3
Mtazamo Gal. 3:13 katika mazingira