Gal. 3:15 SUV

15 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno.

Kusoma sura kamili Gal. 3

Mtazamo Gal. 3:15 katika mazingira