21 Basi je! Torati haipatani na ahadi za Mungu? Hasha! Kwa kuwa, kama ingalitolewa sheria iwezayo kuhuisha, yakini haki ingalipatikana kwa sheria.
Kusoma sura kamili Gal. 3
Mtazamo Gal. 3:21 katika mazingira