Gal. 4:30 SUV

30 Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa mwungwana.

Kusoma sura kamili Gal. 4

Mtazamo Gal. 4:30 katika mazingira