Gal. 5:13 SUV

13 Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.

Kusoma sura kamili Gal. 5

Mtazamo Gal. 5:13 katika mazingira