Gal. 6:4 SUV

4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.

Kusoma sura kamili Gal. 6

Mtazamo Gal. 6:4 katika mazingira