Gal. 6:8 SUV

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

Kusoma sura kamili Gal. 6

Mtazamo Gal. 6:8 katika mazingira