Kol. 1:24 SUV

24 Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake;

Kusoma sura kamili Kol. 1

Mtazamo Kol. 1:24 katika mazingira