Kol. 2:23 SUV

23 Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.

Kusoma sura kamili Kol. 2

Mtazamo Kol. 2:23 katika mazingira