Kol. 3:11 SUV

11 Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mgeni wala mshenzi, mtumwa wala mwungwana, bali Kristo ni yote, na katika yote.

Kusoma sura kamili Kol. 3

Mtazamo Kol. 3:11 katika mazingira