Kol. 3:16 SUV

16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Kusoma sura kamili Kol. 3

Mtazamo Kol. 3:16 katika mazingira