Kol. 3:22 SUV

22 Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote, si kwa utumwa wa macho, kama wajipendekezao kwa wanadamu, bali kwa unyofu wa moyo, mkimcha Bwana.

Kusoma sura kamili Kol. 3

Mtazamo Kol. 3:22 katika mazingira