Kol. 4:10 SUV

10 Aristarko, aliyefungwa pamoja nami, awasalimu; na Marko, mjomba wake Barnaba, ambaye mmepokea maagizo kwa habari yake; akifika kwenu mkaribisheni.

Kusoma sura kamili Kol. 4

Mtazamo Kol. 4:10 katika mazingira