13 Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.
Kusoma sura kamili Kol. 4
Mtazamo Kol. 4:13 katika mazingira