Lk. 1:20 SUV

20 Na tazama! Utakuwa bubu, usiweze kusema, mpaka siku ile yatakapotukia hayo, kwa sababu hukuyasadiki maneno yangu; nayo yatatimizwa kwa wakati wake.

Kusoma sura kamili Lk. 1

Mtazamo Lk. 1:20 katika mazingira