Lk. 1:35 SUV

35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Kusoma sura kamili Lk. 1

Mtazamo Lk. 1:35 katika mazingira