69 Ametusimamishia pembe ya wokovuKatika mlango wa Daudi, mtumishi wake.
70 Kama alivyosema tangu mwanzoKwa kinywa cha manabii wake watakatifu;
71 Tuokolewe na adui zetuNa mikononi mwao wote wanaotuchukia;
72 Ili kuwatendea rehema baba zetu,Na kulikumbuka agano lake takatifu;
73 Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yetu,
74 Ya kwamba atatujalia sisi,Tuokoke mikononi mwa adui zetu,Na kumwabudu pasipo hofu,
75 Kwa utakatifu na kwa hakiMbele zake siku zetu zote.