Lk. 10:11 SUV

11 Hata mavumbi ya mji wenu yaliyogandamana na miguu yetu tunayakung’uta juu yenu. Lakini jueni hili, ya kuwa Ufalme wa Mungu umekaribia.

Kusoma sura kamili Lk. 10

Mtazamo Lk. 10:11 katika mazingira