Lk. 10:13 SUV

13 Ole wako Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza hiyo iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu tangu hapo, huku wakiketi katika nguo za kigunia na majivu.

Kusoma sura kamili Lk. 10

Mtazamo Lk. 10:13 katika mazingira