Lk. 10:22 SUV

22 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu, wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

Kusoma sura kamili Lk. 10

Mtazamo Lk. 10:22 katika mazingira