Lk. 10:35 SUV

35 Hata siku ya pili akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba ya wageni, akisema, Mtunze huyu, na cho chote utakachogharimiwa zaidi, mimi nitakaporudi nitakulipa.

Kusoma sura kamili Lk. 10

Mtazamo Lk. 10:35 katika mazingira