Lk. 10:40 SUV

40 Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi mwambie anisaidie.

Kusoma sura kamili Lk. 10

Mtazamo Lk. 10:40 katika mazingira