Lk. 11:36 SUV

36 Basi kama mwanga umeenea katika mwili wako wote, wala hauna sehemu iliyo na giza, mwili wako wote utakuwa na mwanga mtupu; kama vile taa ikumulikiapo kwa mwanga wake.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:36 katika mazingira