Lk. 11:46 SUV

46 Akasema, Nanyi wana-sheria, ole wenu, kwa sababu mwawatwika watu mizigo isiyochukulika, wala ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo hata kwa kimoja cha vidole vyenu.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:46 katika mazingira