Lk. 11:52 SUV

52 Ole wenu, enyi wana-sheria, kwa kuwa mmeuondoa ufunguo wa maarifa; wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wakiingia mmewazuia.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:52 katika mazingira